EN
TZS
Downloadable
MAFANIKIO YA KIFEDHA KWA WANANDOA: Jinsi Ya KUONDOA Changamoto Za KIFEDHA Ndani Ya Familia (SOFTCOPY)
J
Joel Nanauka
1
TSh4,000.00
TSh30,000
Bofya Hapa Kupata
Details
Ukiisoma Mpaka Mwisho Utajifunza Yafuatayo:
1. Nafasi ya PESA Katika Ndoa
(Maswali 4 Muhimu kwa wanandoa kujiuliza kuhusu PESA) - Ukurasa wa 05
2. Aina 7 Za Wanandoa Kwenye Suala La PESA, Ya Kwako Ni Ipi?
(Aina ya 4, wanandoa WANAPOFARIKI huwaacha WATOTO WAO WAKIHANGAIKA) - Ukurasa wa 12
3. Maeneo 10 Makubwa Yanayoleta MIGOGORO Kwenye Ndoa, Eneo la 6 linaweza pelekea ndoa yako KUVUNJIKA.
- Ukurasa wa 27
4. Mbinu 5 Za KUONDOA Migogoro Inayosababishwa na Pesa Kwenye Ndoa.
(Mbinu ya 5 itawafanya mkae na ndugu zenu kwa AMANI) - Ukurasa wa 40
Frequently bought together