KIONGOZI WA TOFAUTI: MBINU Za Kuleta MATOKEO MAKUBWA Katika Uongozi Wako (SOFTCOPY)
Downloadable

KIONGOZI WA TOFAUTI: MBINU Za Kuleta MATOKEO MAKUBWA Katika Uongozi Wako (SOFTCOPY)

1
TSh3,000.00

Ukiisoma Mpaka Mwisho Utajifunza Yafuatayo:


1. WITO Wa Uongozi (Viwango 5 USIVYOVIJUA Kuhusu UONGOZI) - Ukurasa wa 05


2. SIFA Na TABIA Za Kiongozi (Maeneo 10 MUHIMU ZAIDI Ya Kujenga UWEZO Wako Wa KUONGOZA) - Ukurasa wa 16


3. GHARAMA Na Changamoto Za Kuwa Kiongozi (ZIJUE Kabla Hujaweka Nia Ya KUONGOZA Popote Pale, Ili USIJUTIE Kuwa KIONGOZI) - Ukurasa wa 42


4. Aina 7 Za WAFUASI Na Tabia Zao, Aina ya 6 USIPOWAJUA UMEKWENDA NA MAJI - Ukurasa wa 53


5. MAADUI Wa Kiongozi, ADUI Wapili AMEWAKWAMISHA Viongozi Wengi VIJANA - Ukurasa wa 64

Frequently bought together

© 2026 Joel Nanauka. All Rights Reserved.

Powered By