[MPYA] MWANAMKE NA UONGOZI: MBINU Za Kutumia Ili Uwe Na NGUVU Kwenye Uongozi Wako (SOFTCOPY)
Downloadable

[MPYA] MWANAMKE NA UONGOZI: MBINU Za Kutumia Ili Uwe Na NGUVU Kwenye Uongozi Wako (SOFTCOPY)

1
TSh4,000.00TSh30,000

Ukikisoma Mpaka Mwisho Utajifunza Yafuatayo:


1. CHANGAMOTO Kubwa Mbili Ambazo Kila Mwanamke Aliye Kwenye Uongozi Anatakiwa Kuzishinda - Ukurasa #04


2. Kwa Nini Ujuzi / Akili / Utaalamu Pekee HAUWEZI Kumsaidia Mwanamke Kupanda Juu Zaidi? - Ukurasa #13


3. Mwanamke Anaweza Kutumia Mbinu Gani Ili UWEZO Wake Uonekane Na Apande Juu Zaidi? - Ukurasa #23


4. Nguvu 6 ZINAZOWATOFAUTISHA Viongozi Wanaofanikiwa Na Wale Wanaofeli? - Ukurasa #32


5. Mbinu Za KUWASILISHA HOJA Yako Kwa Ushawishi Unapozungumza Na Watu - Ukurasa #44


6. Sio Kila Mwanamke Mwenye Kipaji Kikubwa ATAFANIKIWA Kwenye Uongozi - Ukurasa #56


7. Ufanye Nini Ili UNAPOCHANGIA HOJA Watu Wakusikilize Kwa Makini Na Wasiisahau Haraka? - Ukurasa #67


8. Anachotakiwa Kufanya Kiongozi Wakati Wa

“CRISIS” - Ukurasa #74


9. Jinsi Ya Kujenga TIMU Yako Unapokuwa Kiongozi - Ukurasa #84

Frequently bought together

© 2026 Joel Nanauka. All Rights Reserved.

Powered By