[MPYA] KABLA YA KUSTAAFU, Mambo Ya Kuzingatia Ili USTAAFU Ukiwa na UHURU Wa KIFEDHA, AMANI Na FURAHA Tele (SOFTCOPY)
Downloadable

[MPYA] KABLA YA KUSTAAFU, Mambo Ya Kuzingatia Ili USTAAFU Ukiwa na UHURU Wa KIFEDHA, AMANI Na FURAHA Tele (SOFTCOPY)

1
TSh4,000.00TSh30,000

Ukiisoma mpaka mwisho utajifunza:


1. Mambo Ya Kuzingatia Ili USITESEKE Baada Ya Kustaafu (Jambo 5 usipolitilia Maanani kuanzia LEO, UTAWASUMBUA sana WANAO Ukistaafu)- Ukurasa #06


2. FIKRA 7 HATARI Zinazowaingiza Wastaafu Kwenye MATATIZO Mengi (FIKRA Ya Nne INAUWAMIZA 90% Ya Wastaafu)- Ukurasa #24


3. Awamu 4 Kubwa Utakazopitia Baada Ya Kustaafu (Awamu ya pili ISIKIE KWA MWENZAKO Tu!, Omba Uivuke Salama)- Ukurasa #42


4. MASWALI 7 Muhimu ambayo LAZIMA Uyapatie Majibu KABLA Haujastaafu - Ukurasa #66 (Kosa majibu ya maswali yote ila sio SWALI La #3, Utalia Na KUSAGA MENO)


5. Mambo 3 Ya KUZINGATIA Ili Ujenge UHURU Wa KIFEDHA Sasa Na BAADA Ya Kustaafu - Ukurasa #93 (Wastaafu Wengi Wamefariki Mapema Kwa Kutozingatia Jambo la #2)


6. Njia Bora Ya Kurithisha Mali BILA Kuacha Vita Kubwa Baada Ya Wewe Kuondoka (Hamna kitu kinauma kama kuona WANAO WANATESEKA Ilihali uliacha mali ambazo zingeweza Kuwasaidia) Ukurasa #121

Frequently bought together

© 2026 Joel Nanauka. All Rights Reserved.

Powered By