1. DALILI 4 Kubwa Ambazo Usipozijua Utashindwa Kutoka Kwenye Madeni. (STRESS za dalili ya 3 zisikie kwa mwingine) - Ukurasa wa 09
2. NGUVU Ya Kutathmini Hali Yako Ya MADENI. (50% ya USHINDI iko hapa) - Ukurasa wa 14
3. Jinsi Ya Kuweka VIPAUMBELE Vya Kulipa Madeni Yako, Waliolipuuzia jambo la 2 stress zao HAZIELEZEKI. - Ukurasa wa 17
4. Mambo 3 Muhimu Ya KUONGEA Na Wanaokudai, (Waliotumia mbinu hii waliweza kulipa madeni yao haraka BILA kulazimika kuongeza kipato) - Ukurasa wa 21
5. Maeneo 3 Ya KUBADILISHA Haraka Ili Utoke Kwenye Madeni. (ENEO 1 litakusaidia KWA HARAKA) - Ukurasa wa 27
6. Maswali 7 Muhimu Ya Kujiuliza KABLA Ya Kukopa Tena Ili Usiingie Kwenye Madeni. (Yangebandikwa kwenye kuta za ofisi za mikopo, 70% ya watu WASINGECHUKUA MIKOPO) - Ukurasa wa 33
7. Vifungo 6 Vikubwa Vya KUEPUKA Ili Usiwe Na Madeni Yasiyoisha, kifungo cha 4 ni ULEVI USIOHUSISHA POMBE - Ukurasa wa 40