[TOLEO JIPYA] MONEY FORMULA: Mbinu Za KUSAVE Pesa Na Kutimiza MALENGO Ya Kifedha Kwa KASI. (SOFTCOPY)
Downloadable

[TOLEO JIPYA] MONEY FORMULA: Mbinu Za KUSAVE Pesa Na Kutimiza MALENGO Ya Kifedha Kwa KASI. (SOFTCOPY)

1
TSh4,000.00TSh30,000

Ukiisoma eBook Hii LEO Utajifunza yafuatayo:


1. Njia 6 kuu za kutengeneza KIPATO ENDELEVU.... (Njia Ya 3 Haihitaji MTAJI Mkubwa Kuanza Kuwekeza) - Ukurasa wa 84


2. Hatua 7 rahisi za kufuata ili kupata UHURU WA KIFEDHA. (Hatakama una KIPATO KIDOGO) - Ukurasa wa 73


3. Kwanini kutumia kanuni iitwayo "DHAHABU" kunaweza kukusaidia kuongeza AKIBA yako mara 10 zaidi ndani ya siku 30?. (Tena bila kuongeza kipato chako) - Ukurasa wa 16


4. Sheria 5 za fedha ZISIZO zungumziwa sana ambazo zitakusaidia KUONGEZA KIPATO chako haraka. - Ukurasa wa 51


5. Asilimia 65 ya watu wote duniani HAWAJUI mwezi uliopita wametumia fedha kiasi gani, (Mambo 2 ya kuzingatia ili u-CONTROL Fedha zako vizuri) - Ukurasa wa 30


6. Aina 3 za watu kwenye maswala ya fedha ambazo KAMWE hautakiwi kuwa...kama hautaki kuishia kuwa MASKINI. - Ukurasa wa 64

Frequently bought together

Customer Reviews

© 2026 Joel Nanauka. All Rights Reserved.

Powered By