SAIKOLOJIA YA MTEJA: Jinsi Ya KUWAELEWA WATEJA Na Kuwauzia KIRAHISI. (SOFTCOPY)
Downloadable

SAIKOLOJIA YA MTEJA: Jinsi Ya KUWAELEWA WATEJA Na Kuwauzia KIRAHISI. (SOFTCOPY)

1
TSh4,000.00TSh30,000

Ukiisoma mpaka mwisho utajifunza yafuatayo:


1. Mambo 9 yanayo msukuma mteja kununua bidhaa/huduma yako (MAKAMPUNI yote makubwa yanatumia jambo la 8) - Ukurasa wa 24


2. Hatua 5 ambazo mteja hupitia kabla ya KUNUNUA (Wafanyabiashara wote walioipuuzia hatua ya 5 wamejikuta WANAKOSA wateja wanaorudi kununua kwao mara kwa mara) - Ukurasa wa 5


3. Aina 10 za wateja na namna ya KUWAUZIA kirahisi (Mteja aina ya 5 usipomjua anaweza AKAKUAHARIBIA siku yako) - Ukurasa wa 57


4. Formula ya siri ya kukabiliana na MALALAMIKO ya mteja na kumfanya arudi kunua kwako tena na tena - Ukurasa wa 87

Frequently bought together

© 2026 Joel Nanauka. All Rights Reserved.

Powered By