[MPYA] MIFUMO 10: Inayotengeneza Watu WAKUU Wanaotawala (SOFTCOPY)
Downloadable

[MPYA] MIFUMO 10: Inayotengeneza Watu WAKUU Wanaotawala (SOFTCOPY)

1
TSh4,000.00TSh30,000

Ukiisoma Mpaka Mwisho Utajifunza Yafuatayo:


1. Mfumo Wa Nguvu Za KIROHO (Siri za kujenga ukaribu na Mungu na Nguvu yake kwako) - Ukurasa wa 01


2. Mfumo Wa Kuimarisha AFYA Binafsi. (Waliopuuzia walijikuta wanashindwa kuendelea kutimiza ndoto zao kubwa kwa kuwa AFYA HAIKUWARUHUSU) - Ukurasa wa 09


3. Mfumo Wa KUJIENDELEZA Kimaarifa. (Siri ya kufanya Mental age yako itangulie Biological age yako) - Ukurasa wa 16


4. Mfumo Wa UWAJIBIKAJI (Mbinu ya kukusaidia kuongeza UFANISI Mara 10 zaidi) - Ukurasa wa 22


5. Mfumo Wa Usimamizi Wa PESA (Bila kujali CHEO, KIPAJI au maarifa uliyonayo usipolizingatia eneo hili hautafanikiwa kifedha) - Ukurasa wa 27


6. Mfumo Wa UENDESHAJI TAASISI (Umeshawahi kujiuliza, siku ukienda LIKIZO YA MWAKA MMOJA, hicho unachokifanya leo kitaendelea kufanyika?) - Ukurasa wa 33


7. Mfumo Wa KUTUNZA FAMILIA (USIWASAHAU wala USIWACHUKULIE POA siku ukipata tatizo kubwa lolote lile aidha la kiafya, aibu, kushuka chini n.k watu ambao watakuwa na wewe kila wakati ni familia yako) - Ukurasa wa 38


8. Mfumo Wa MAHUSIANO NA JAMII (Mbinu itakayokusaidia kutopata changamoto ya UPWEKE baada ya KUFANIKIWA) - Ukurasa wa 44


9. Mfumo Wa KUKUZA NA KUENDELEZA WATU (Ukiona unaweza kufanya kila kitu wewe mwenyewe basi ujue maono yako ni MADOGO SANA.) - Ukurasa wa 50


10. Mfumo Wa KUSAMBAZA HABARI YA UNAYOYAFANYA (Mambo 8 ya msingi ya kuzingatia ili kufanikiwa kwenye vyombo vya habari/mitandao ya ijamii) - Ukurasa wa 58


+ BONUS ya eBook ya Kiongozi Wa Tofauti, Bila malipo (Thamani yake Tsh 30,000.00)

Frequently bought together

© 2026 Joel Nanauka. All Rights Reserved.

Powered By